
Timu ya Roma jana ilifanikiwa kushika uskani wa Ligi ya Serie A hapa Italia baada ya kuifunga timu ya Atalanta kwa mabao 2-1. Timu ya Roma imefanikiwa kuivuka inter ambayo ipo nyuma kwa point moja baada ya inter kutoa draw na fiorentina 2-2 jumamosi usiku. AC Milan ambayo na yenyewe ipo kwenye kinyang'anyiro hicho ilitoa Draw na Catania 2-2 na hivyo kuwa pointi 4 nyuma ya Roma.
No comments:
Post a Comment