
Balozi Daudi mwakawago amezikwa leo katika makaburi ya kisuti Dar-es-Salaam. Mazishi ya marehemu daudi Mwakawago yaliudhuliwa na raisi Kikwete pamoja na wanasiasa wakwongwe na wapya wa kila vyama vya siasi.Mwenyezi Mungu ampumzishe Marehemu mahali pema. Amina!
No comments:
Post a Comment