
Simba wa vita kama ajulikanavyo na wengi nchini Tanzania, Mh. Kawawa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo kwenye hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu toka jana. mwenyezi mungu amlaze marehemu mahali pema peponi amina. Jumiya ya Watanzania Rome inawapa pole ndugu jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba huu.
No comments:
Post a Comment