
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome, Ndugu Andrew Chole Mhella anapenda kuwatakieni wapendwa Watanzania Popote pale mlipo Christmas njema yenye utulivu na Amani. Anapenda pia kuwakumbusha s ya tarehe 26th Disemba kuanzia saa moja usiku tutakutana kupeana heri za christmas kwenye bar ijulikanayo na sisi wabongo kama Manzese Bar, iliyopo Via Grottarossa, maeneo ya Cassia. Kwa wale wasiojua Bar ipo karibu na kituo cha kwanza cha Bus 301 litokalo piazza Mancini, yaani ukushaingia kwenye mtaa wa Grottarossa shuka na rudi nyuma kidogo utafika.
No comments:
Post a Comment