Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, November 22, 2009

Rome: Arobaini za Marehemu Moses Kiumbi



Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Tawi la Roma unapenda kuwatangazia Watanzania wote Nchini Italia kuwa tarehe 5 Mwezi wa Kumi na Mbili(05/12),kuanzia saa kumi jioni mpaka saa mbili na nusu usiku (20:30), kutakuwa na Arobaini za Marehemu Moses Kiumbi. Arobaini zitafanyika kwenye ule ukumbi tuliofanyiaga Mkutano wa Uchaguzi mwezi wa Tano mwaka huu. Kwa wale wasiopafahamu, ukumbi upo maeneo ya Cassia(Grotta Rossa) kwenye Via del Cassalettico 6, yaani mwishoni mwa Via Fosso del Fontaniletto. Kwa maelezo zaidi na vitu gani vya kujanavyo muandikieni Katibu e-mail au mpigie simu kwenye hii namba 3886521843.(watanzaniaroma@yahoo.it)

No comments:

Post a Comment