Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, October 29, 2009

Muda na Sehemu ya Kumuaga Marehemu Moses Kiumbi



Jumuiya ya Watanzania Tawi la Roma, inapenda kuwa taarifu watanzania wote popote pale mlipo hapa nchini Italia kwamba, mipango ya Kusafirisha mwili wa marehemu Moses Kiumbi imeshakamilika na Marehemu ataagwa Mjini Roma siku ya Jumamos tarehe 31 Oktoba Kuanzia saa mbili asubuhi mpaka saa sita mchana kwenye Obitorio pale Piazzale Verano 35. mwili wa marehemu siku ya Jumatatu tarehe 2, usiku saa mbili na dakika kumi, utasafirishwa na ndege (KLM) ambayo itatua Dar-Es-Salaam siku ya jumanne saa tano na nusu usiku. Mwenyezi Mungu amlaze ndugu Moses mahali pema peponi.

No comments:

Post a Comment