
Habari ya kusikitisha zimetufikia, ambapo watoto wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine wachache kujeruhiwa kutokana na mlipuko wa bomu huko Mbagala kizuiani, karibu na kambi za jeshi. Ili Bomu linasemekana kuwa ni moja ya mabaki ya mabomu yaliyobakia kutokana na milipuko mikubwa ya mabomu iliyotokea miezi michache iliyopita. Mwenyezi Mungu hawalaze hawa watoto mahali pema peponi.
No comments:
Post a Comment