Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, August 12, 2009

Tanzania: Dawa ya rushwa za uchaguzi yaiva muswada mbioni kwenda bungeni

Na Mwandishi Maalum (Eric Kabendera)

HATIMAYE dawa ya rushwa kwenye uchaguzi sasa inakaribia kupatikana baada ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda kutangaza kuwa, muswada wa sheria ya kudhibiti kero hiyo utawasilishwa kwenye mkutano ujao wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mwezi Oktoba.

Akizungumza na wakazi wa kijiji cha Ndedo wilayani Kiteto juzi, Waziri Pinda alisema mbali na muswada huo, serikali inaandaa muswada wa kutenganisha siasa na biashara ili uwasilishwe bungeni sambamba na muswada wa sheria ya rushwa ya uchaguzi.

“Tunataka kuwa na mfumo wa kisheria ambao utadhibiti rushwa katika chaguzi na huu unatarajiwa kuwasilishwa bungeni kwenye mkutano ujao au utakaofuata,” alisema.

Waziri Mkuu Pinda, ambaye leo yuko katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani Manyara, alisema rushwa ni rushwa na haina itikadi wala chama na hivyo itashughulikiwa kote.

“Rushwa isionekane iko kwa CCM tu, hata kwa wapinzani kuna rushwa,” alisema Waziri Pinda, ambaye juzi alitoa tamko kuwa mafisadi wote kuanzia ngazi za chini watimuliwe.

Alionya kuwa kupitishwa kwa sheria hiyo kutawabana watu wote......

Kwa habari zaidi click kwenye kicha cha habari...

No comments:

Post a Comment