
Kwa siku tano mfurulizo, usafiri wa mabasi yatokayo Dar-es-Salaam kwenda mikoani ulikuwa umesitishwa kutokana na mgomo wa madereva. Madereva hao, ambao walikuwa takribani 400 waliamua kupinga kitendo cha dereva mwenzao kuhukumiwa kifungo cha miaka 30 kutokana na ajali iliyosababisha kifo. Kwa habari zaidi click kwenye title.
No comments:
Post a Comment