Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania tawi la Roma, unapenda kuwataarifu Watanzania waishio Rome kuwa, Jumamosi Tarehe 8 August 2009, kutakuwa na mkutano utakaofanyika kwenye ukumbi wa
Africa Libulu Associazione Culturale, uliopo kwenye mtaa wa
Via Galilei 56. Jirani na Station ya metro
Manzoni. Vifuatavyo mnatakiwa kuja navyo kwaajiri ya kujiunga na jumuiya:
- Picha mbili za passport size,
- Euro 20 za kujiandikisha uanajumuiya
- Euro 5 kwaajiri ya mchango wa Ukumbi
Angalieni hii Link Namna ya kufika tokea Stazione Manzoni:
http://www.tuttocitta.it/tcol/mappe/roma?cb=0&op=mc&dv=Roma (RM), Italia&ind=Via Galilei, 58&px=620&py=390&ldv=Roma (RM), Italia<y=C&lcn=Roma&lpr=RM&lre=Lazio&cre=10&ccd=70464&geoall=0&z=3&zd=2.4&cx=12.52329&cy=41.89127&poi=0000&mtp=1&lx=12.50617&ly=41.8912Katibu,Mr. Andrew Mhella
No comments:
Post a Comment