
Ligi kuu ya Italia (Serie A) Weekend iliyopita ilianza kwa mbembwembwe ambapo ACMilan ilifanikiwa kuwachapa Siena kwa bao 2-1, magoli yote mawili yalifungwa na kijana Mbrazil wa miaka 18 tu, Alexandre Pato. Milan ambayo jumamos ijao itacheza Derby na Inter ilionekana kuwa tayari na mechi hiyo ambayo inategemewa kuwakuna washabiki wa mpira dunia kote. Nayo Juve jumapili usiku ilifakiwa kuifunga Chievo kwa Bao Moja bila. Inter ambao ni champioins wa mwaka jana walilazimishwa bila bila na Bari timu ambayo ndio imepanda tu ligi mwaka huu. haya ndio matokea ya mechi:
Bologna 1-1 Fiorentina
Catania 1-2 Sampdoria
Genoa 3-2 Roma
Inter 1-1 Bari
Juve 1-1 Chievo
Lazio 1-0 Atalanta
Livorno 0 - 0 Cagliari
Palermo 2-1 Napoli
Siena 1-2 Milan
Udinese 2-2 Parma
big up sana mkuu..
ReplyDeletenimeipenda sana blogu yako..
hongera kwa kazi nzuri unayoifanya ya kuwaweka pamoja wa tz wa hapo Italy.
karibu kutembelea blogu yangu ya
http://samvande.blogspot.com;
karibu tujumuike wote kwa pamoja
thanks