
Kwenye draw ya Supernalotto, ya Jana usiku kwenye mida ya saa mbili na dakika ishirini hivi, atimaye mtu mmoja ambaye anasemekana kuwa ni wa kiume na umri wa miaka ya arobaini, alijinyakulia kitita kikubwa kutokuwahi kutokea kwenye mchezo huu wa bahati na Sibu. mshindi huyu aliyecheza kwa euro mbili tu alipata bahati ya kuotea namba zote sita na kwa mantiki hiyo kujinyakulia jumla ya euro 147 milioni na 800.
No comments:
Post a Comment