Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, July 12, 2009

Blog Inayotoa Maelezo Mbali Mbali kwa Wafanyakazi na Wastaafu

Napenda kuwajulisha ndugu Watanzania wenzangu wenye makazi hapa Roma na Italia kwa Ujumla kuwa hii blog (www.informazionipertutti.blogspot.com), ni blog pekee ambayo inatoa maelezo mbali mbali kwa foreigners wanaoishi hapa italy. Hawa ndugu ambao ni wastaafu wanaweza kukupatia maelezo mbali mbali kuhusu haki zako za ufanya kazi, kuishi na zingine mbali mbali. Ukiwa na tatizo lolote na ungependa kupata maelezo bila hata ya kuangaika kwenda maofisini, unaweza kuwaandikia na kwa muda mchache tu watakuelezea namna gani unapaswa kufanya kupata haki zako kama mfanyakazi au mstaafu hapa Italia. Mtakapo kuwa na shida waandikieni na watawapatieni maelezo yaliyo sahihi. Ni bure, hawacharge hata senti moja. Sema inawabidi muwaandikie kwa lugha ya kitaliano.

No comments:

Post a Comment