JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA, IMESIKITISHWA NA HABARI ZA KIFO CHA NDUGU OMARI BAKARI HASSAN,KILICHOTOKEA USIKU WA JUMATATU TAREHE 10/12/2012 KWA AJALI
YA GARI. MAREHEMU ALIPATA AJALI SEHEMU INAYOITWA LAGO PATRIA- GIUGLIANO NAPOLI.
UONGOZI WA JUMUIYA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE MLIOPO ROMA KUWA, JUMAMOSI YA TAREHE 15 DISEMBA KUTAKUWA NA MKUTANO KWENYE UKUMBI WA WAKENYA ULIOPO KWENYE VIA GIOVANNI LANZA SAA KUMI NA MOJA JIONI WENYE LENGO LA KUKUSANYA MICHANGO ITAKAYO SAIDIA SHUGHULI NZIMA YA USAFIRISHAJI WA MWILI WA MAREHEMU KWENDA NCHINI TANZANIA.
KWA MAELEZO ZAIDI MNAWEZA KUMUANDIKIA KATIBU watanzaniaroma@yahoo.it au kumpigia kwenye namba hii ya simu 3479094800.
REST IN PEACE BROTHER OMARY YOU LEFT US TOO SOON!

Picha ya Pamoja huku Marehemu Omari akiwa upande wa kulia wa Balozi wa Tanzania Italy, Mh. James Msekela. |
REST IN PEACE BROTHER OMARY YOU LEFT US TOO SOON!
Pumzika kwa amani baba yangu kipenz nilikupenda ila mungu amekupenda zaidi, Nitakukumbuka na kumiss ukaribu wangu��
ReplyDelete