UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA MWILI WA MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA ULISAFIRISHWA SALAMA SIKU YA TAREHE 30 OKTOBA NA KUPOKELEWA NA NDUGU WA MAREHEMU WALIOKUWEPO UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA JULIUS NYERERE MJINI DAR ES SALAAM TAREHE 31 OKTOBA 2012. MWILI WA MAREHEMU BAADA YA KUPOKELEWA ULISAFIRISHWA KWA BASI KUELEKEA KIJIJI KWAKE, KIJIJI CHA BUNDUKI MKOANI MOROGORO KWA MAZISHI.
ITAKUMBUKWA KUWA MAREHEMU JANUAARY JEREMIA ALIFARIKI TAREHE
21/10/2012 PINETA MARE - CASERTA- ITALY, MJINI NAPOLI.
HAPA KWA CHINI NI PICHA MBALIMBALI ZA MAZISHI NCHINI TANZANIA.
No comments:
Post a Comment