WATANZANIA NCHINI ITALIA, JANA TAREHE 27 OKTOBA 2012, WALIUNGANA KWA PAMOJA KWENYE KUUAGA MWILI WA MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA, ALIYEZALIWA 31/11/1943 -KIJIJI CHA BUNDUKI -MOROGORO NA KUFARIKI TAREHE 21/10/2012 PINETA MARE - CASERTA- ITALY, MJINI NAPOLI NCHINI ITALIA.
MAZISHI YALIONGOZWA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY CHINI YA MH. ADBULLAHMAN, KWA USHIRIKIANO NA UONGOZI WA JUMMUIYA YA WATANZANIA ROMA ULIOWAKILISHWA NA KATIBU WA JUMUIYA NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA PAMOJA NA USHIRIKIANO WA KARIBU SANA NA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY.
SALA YA KUMUOMBEA MAREHEMU ILIONGOZWA NA PADRE PAUL KAIGARULA.
MWILI WA MAREHEMU UTAONDOKA NCHINI ITALY SIKU YA JUMANNE TAREHE 30/10/2012 NA KUFANYA TRANSIT AMSTERDAM, HOLLAND TAREHE 31/10/2012 AMSTERDAM.MIDA YA SAA NNE NA DAKIKA KUMI NA TANO NA KUFIKA UWANJA WA NDEGE WA MWALIMU JULIUS NYERERE SAA NNE NA DAKIKA HAMSINI ZA USIKU!
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI MAREHEMU JANUARY JEREMIA MKOBA. AMEN

No comments:
Post a Comment