Jumuiya ya Watanzania Roma, imepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kifo cha Mtanzania mwenzetu MZEE JANUARY JEREMIA MKOBA (KOBA MDAULA) Kilichotokea usiku wa Jumapili tarehe 21/10/2012 huko mjini Napoli. Kama ilivyo jadi yetu sisi Watanzania, tunaombwa tushiriki kikamilifu kwenye kufanikisha usafirishwaji wa mwili wa Marehemu kwenda nchini Tanzania kwaajiri ya mazishi!
Kwa hapa Roma, Michango inawezwa kuwakilishwa kwa Katibu, Ndugu Andrew Chole Mhella 3479094800, Kwa mweka hazina ndugu Awadhi Suleiman 3395438783, au Bi. Diana Olotu kwa kumpitishia ubalozini!Mipango mingine zaidi tutawajulisha mapema iwezekanavyo.
Andrew Chole Mhella

Katibu,
AHSANTENI NA POLENI SANA!
No comments:
Post a Comment