MARAFIKI WAMAREHEMU SULTAN DOMINGO WANASIKITISHWA SANA NA KUCHELEWA KWA USAFIRISHAJI WA MWILI WA MAREHEMU. UCHELEWESHWAJI UMETOKANA NA SABABU ZA KIOFISI KWA UPANDE WA AGENTI.
KWA UPANDE WETU WATANZANIA TULIJIPANGA VIZURI NA KUWEZA KUKAMILISHA FEDHA ZA KUMUANDA NA ZA KUMSAFIRISHA MAREHEMU NDANI YA SIKU TANO TU TANGU KUFARIKI KWAKE MAREHEMU. LAKINI AGENT TULIO MPATA SAFARI HII! HAKUONYESHA UJUZI WA KAZI YAKE.
TUMEJIFUNZA MENGI KUTOKANA NA TATIZO HILI LA SASA HIVI.
TUNAOMBA SAMAHANI KWANDUGU, JAMAA PAMOJA NA MARAFIKI POPOTE PALE MLIPO DUNIANI KUTOKANA NA TATIZO LILOJITOKEZA.
MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRSHWA NA SHIRIKA LA NDEGE LA EMIRATES ARAB – SIKU YA IJUMAA TAREHE 20/07/2012 – SAA TISA NA DAKIKA ISHIRINI NA TANO –ORE 15.25 MWILI WA MAREHEMU UTAFIKA DUBAI SAA TANO NA DAKIKA KUMI NA MBILI USIKU USIKU–ORE 23.12 NA NDEGE NAMBA EK98 EMIRATES FLIGHT – DUBAI MWILI UTAKUWA PALE- KUSUBIRI NDEGE NYINGINE-ITAKAYO ONDOKA SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 21/07/2012 SAA NNE NA DAKIKA HAMSINI ASUBUHI—ORE 10.50 NA ITAFIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MJINI DAR ES SALAAM TANZANIA SAA TISA NA ROBO ORE 15.15 -BAADA YA HAPO ATAPOKEWA NA NDUGU ZAKE –NA BAADA YA HAPO MWILI UTAPELEKWA MTAA WA BOKO STREET NAMBA 21 TEMEKE KWA MUDA NA BAADAE MSIKITINI .
MWILI WA MAREHEMU ULISWALIWA NA MUFTI WALI ULLAH KHAN IDRIS- NA YOUNUS MOHAMED –ALIE UOSHA MWILI WA MAREHEMU. WOTE KUTOKA KATIKA MSIKITI WA MASJEED –E- MAKKI ULIOPO KATIKA MTAA WA ASCOLI PISCENO NO-52° PIAZZALE PRENESTINO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ITALIA NDUGU ABDULLRAHMAN COSH ANAONDOKA NA MSIBA –ATAUSINDIKIZA MWILI WA MAREHEMU KUELEKEA NYUMBANI NAPIA ATAHUDHURIA KWENYE MAZISHI.
ASH-SHAHADATUL ALAMIAH---EXCELLENT WITH THE HONOR OF FIRST PLACE – AL JAMIATUL ISLAMIYAN PATIYA CHITAGONG—HIGHER STUDIES ( QURAN AND HADITH)—KING SAUD UNIVERSITY RIYADH,K.S.A-SPECIALIST IN ISLAMIC FIGH ISLAMIC RESEARCH CENTER—FIRST IMAM AND KHOTIB MASJEED –E-MAKKI—FOUNDER DIRECTOR MADRAS EHYAITTURAS AL-ISLAM,BAUSA,SUKARI NA NETROKONA.
MWENYEZI MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA SULTANI DOMINGO.
Ujumbe kutoka kwa George mayaka.
No comments:
Post a Comment