Jumuiya ya Watanzania Roma inaungana na Watanzania wote kuomboleza vifo vilivyotokana na ajali ya meli ya MV SKAGIT karibu na kisiwa cha Chume, Zanzibar, tarehe 18 Julai 2012.Jumuiya pia inaungana na Watanzania wote duniani kuwaombea majeruhi wapone haraka na kurudi kwenye shughuli zao wa kila
siku.
Mungu ibariki Tanzania.
ANDREW CHOLE MHELLA
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA
siku.
Mungu ibariki Tanzania.
ANDREW CHOLE MHELLA
KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA
No comments:
Post a Comment