Napenda kuwafahamisheni ndugu wadau wa blog ya Jumuiya ya Watanzania Roma kuwa, habari za nyuma hazijafutwa zipo kwenye page ya zamani. Ili muweze kuzisoma mnaombwa kubonyeza kwa chini sehemu iliyoandikwa OLDER POSTS, zitakuja. Napenda pia kuchukua fursa hii kuwaomba wale wote watakao kuwa na habari mbalimbali zinazohusu Watanzania, kama vile habari za Sherehe za birthdays, harusi, urahia, makaratasi, mikutano, maonyesho mbalimbali mnitumie kwenye e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it.
Natanguliza shukrani zangu.
LIBENEKE OYE!!!
Andrew Chole Mhella
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma.
Natanguliza shukrani zangu.
LIBENEKE OYE!!!
Andrew Chole Mhella
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma.
No comments:
Post a Comment