Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, December 20, 2011

Barua kutoka kwa Chama cha Wanafunzi Wakatoriki Wakitanzania Roma

Jumuia ya Watanzania Roma.


Napenda nitumie fursa hii kwanza kuwashukuru kwa kila nia njema, muelekeo na tendo la ushirikiano mlilolionyesha kwa umoja wetu katika uongozi wetu. Pili napenda niwajulishe jopo la uongozi mpya uliochaguliwa leo katika kikao cha kikatiba na cha mwisho katika mwaka, siku ya kusherehekea jubilee ya miaka 50 ya uhuru wanachi yetu.

  1. Mwenyekiti – Pd. Richard Tiganya
  2. Katibu – Padre Christian Likoko
  3. Mhasibu – Sista Martha msambili
  4. Kiongozi ibada - Padre Adolf Minga
  5. Mkutubi – anaendelea Pd. Nicodemus Mayala

Mwisho, napenda kuwatakia heri na baraka za maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya 2012. Mungu awabariki.

Padre Emmanuel Nyaumba

Ex - katibu

No comments:

Post a Comment