
Dada esther anayofuraha ya kuitambulisha blog mpya
(www.citystarboutique.blogspot.com)yake mpya itakayokuwa ikitangaza vilivyomo kwenye duka lake liitwalo CITY STAR BOUTIQUE. Duka linapatikana mtaa wa Kimweri Road maeneo ya Namanga. Kwa yeyote anayetaka kuwasiliana nae anawakaribisha kuwasiliana nae kupitia e-mail hii: citystarboutique@yahoo.com.Mnaweza pia kuitembelea blog ya Dada Esther www.citystarboutique.blogspot.com ili kupata kuona nini kinauzwa ndani ya duka lake.
No comments:
Post a Comment