Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, March 27, 2011

Tangazo la Sherehe ya Muungano na ya Utamaduni wa Tanzania


Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma, unapenda kuwatangazia wanajumuiya wote na Watanzania wote kwa ujumla kuwa ticket za Bahati na Sibu ambayo itachezeshwa siku ya tarehe 30 April 2011 kwenye sikukuu ya Muungano na sikukuu ya Utamaduni wa Tanzania, zinapatikana kwa Katibu cell.3479094800, Katibu Msaidizi Diana Olotu cell.3280750490 au Mweka hazina ndugu Awadhi Suleiman cell. 3395438783. Ticket zinauzwa euro 5 tu kwa moja na mshindi anaweza kujinyakulia SIMU YA MKONONI au DIGITAL CAMERA.Mapatikano ya hela za bahati na sibu yatawekwa kwenye mfuko wa Jumuiya.
Zaidi, kwa wale wote ambao wanataka kushiriki kwa namna moja au nyingine kwenye hii sherehe kama vile, kuandaa chakula cha kitanzania, kuleta bidhaa kwaajiri ya maonesho, kuja kushiriki kwenye kutangaza nguo(Fashion Show) za kitanzania, wanaweza kuwasiliana na Katibu kwa namba ya simu hapo juu au kwa kuandika e-mail watanzaniaroma@yahoo.it.
Tunawatakia Weekend njema na tunawakumbusha kuwa kutakuwa na kikao siku ya jumamosi tarehe 2 April 2011, South Indian Restaurant and Fast Food, Mtaa wa Via Principe Amedeo 70, maendeo ya Termini.Uwepo wenu kwa wingi utachangia mafanikio mema.

No comments:

Post a Comment