
Jumuiya ya Watanzania Rome inapenda kutoa pole zake za dhati kwa wale wote walioathirika kwa namna moja au nyingine na milipuko ya mabomu kwenye Kambi za Jeshi za Gongo la Mboto yaliyotokea jana usiku(16 feb.) na kuomba serikali kuliangalia vizuri swala ili la kuifadhi madomu ili kuepukana na malipuko mengine siku za Mbele.
No comments:
Post a Comment