
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome, unapenda kuwataarifu wanajumuiya wote popote pale mlipo kuwa kwa sasa mnaweza kuweka michango yenu ya kila mwezi kwenye Account ya Jumuiya. Hii itasaidia kupunguza ucheleweshaji wa michango. Mnachotakiwa kufanya ni kwenda kwenye Posta Italiana yeyote na kuweka michango kwa njia ya "Versamento" kwenye account ya Jumuiya. kwenye "Causale" mnaweza kuandika MCHANGO WA MWEZI. Mnaombwa kuifadhi risiti mtakayopewa na Posta ili pale mtakapo kutana na mweka hazina au katibu muweze kuonyesha ili wawakabidhi risiti za Jumuiya.
Associazione dei Tanzaniani a Roma
Bancoposta
Account Number: 000007564174
IBAN:IT44 P076 0103 2000 0000 7564 174
BIC/SWIFT:BPPIITRRXXX
No comments:
Post a Comment