
Wapendwa tunakaribishwa kwenye sherehe ya upadrisho tarehe 8 December tunaomba tujitokeze kwa wingi kumshangilia na kumpongeza ndugu yetu.
Naomba tusome maelezo zaidi na namna ya kufika kwao maelezo chini.
Hii ndio e-mail ya mwaliko kutoka kwa mtarajiwa kwa Wanajumuiya ya Watanzania Rome kupitia Mwenyekiti Mh. Leonce Uwandameno:
Ndugu mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania Roma salamu sana!Mimi jina hapo chini ni mmissionari wa Consolata (IMC)Napenda kukutaarifu na kuwa karibisha tarehe 08 Dicember hapa Braveta Consolata 56 kwa upadrisho wangu wa (USHEMASI) nimeambatanisha na kadi, pengine kupitia anuani ya consolata tutuma pia. Pili kama watukua tayari kuimba nyimbo mbili mtanijulisha maana watakuwepo wakenya wengi basi ingekuwa nzuri kuimba pamoja. Misa ni saa SITA MCHANA HAPA SAN CROCIFISSO NO BRAVETA 332 YOTE YAMEELEKEZWA KWENYE KADI KARIBUNI !Hyacinth Mwallongo
hmwallongo@yahoo.co.uk
Tel: +39 3897886128 Windi
Tel: +39 3456388751 Voda
No comments:
Post a Comment