
Leo jioni saa kumi na moja (17:00)kutakuwa na Mkutano wa Kamati ya utendaji utakaofanyika maeneo ya Termini kwenye Via Principe Amedeo 70, kwaajiri ya kukamilisha mipango ya Mkutano Mkuu wa Kwanza wa Jumuiya ya Watanzania Rome jumamos ijayo tarehe 27. Viongozi wote mnaombwa mfike on time bila kukosa. Weekend njema!
No comments:
Post a Comment