
Jumuiya ya Watanzania Rome inampongeza Mgombea wa urais kwa ticket ya Chama Cha Mapinduzi, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa kushinda kwa asilimia 61.17 akifuatiwa na Dr. Slaa aliyepata asilimia 26.34. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Tanzania.
No comments:
Post a Comment