
Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Rome unapenda kuwajulisha wanajumuiya wake na Watanzania kwa ujumla kuwa tarehe 27 November, 2010, baada ya mkutano mkuu wa Jumuiya, kutakuwa maongezi kidogo na mwakilishi kutoka kwenye Bank mpya ya kiafrica hapa Italia(BANCA ETICA DIASPORA AFRICANA), ndugu CHEIKH TIDIANE KHOUMA ambaye atakuja kutuelezea juu ya hii Bank mpya. Ni vizuri kufika pia kumsikiliza na kumuuliza maswali juu ya hii Bank. Labla yaweza kututatulia maswala yetu mbalimbali.Karibuni Wote.
No comments:
Post a Comment