Sherehe ya finali za Kombe la Dunia zilizofanyika Rome zawaunganisha wafrika tokea sehemu mbalimbali mjini Rome.
Ze Fulanaz nayo ilikuwepo kusherekea mechi ya fainali ya kombe la Dunia.
Watu walikuwa wengi kupita kiasi. Palikuwa hapatoshI!!
Ni furaha tu!!
Mh.Thenjiwe Mtintso, Balozi wa South Africa nchini Italy, akilisakata Rumba kusherekea mechi ya fainali ya kombe la dunia kwenye FIFA FAN FEST mjini Rome.
Wadau mbalimbali wakijumuika na Balozi wa South Africa nchini Italia Mh.Thenjiwe Mtintso kusherekea fainali za kombe la Dunia.
Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Rome akiwapongeza Mashabiki wakereketwa wa Spain kwa ushindi wa Kombe la Dunia jana tarehe 11 July 2010.
No comments:
Post a Comment