South Africa Jana tarehe 22 mei, waliaga kinyang'anyiro cha kombe la Dunia kifua mbele baada ya kuichabanga France bao 2-1. Mechi ilikuwa nzuri mpaka dakika ya mwisho sema ushindi ulitakiwa uwe zaidi ya magoli matatu huku wakiombea Uruguay amfunge Mexico kitu ambacho kilitokea ambapo Uruguay alimfunga mexico kwa bao moja bila.
Hapa ndipo kwenye eneo ambapo Mpira ulikuwa ukiangaliwa hapa mjini Rome.
Mdau alipandisha mzuka baada ya South Africa kupachika bao la pili.
TV zilikuwa nyingi zikionyesha mpambano huu.
No comments:
Post a Comment