Mama Mhella ambaye alikuwa akifanya kazi kwenye idhaa ya Kiswahili ya Radio Vatican amekuwa mwafrika wa kwanza kutunukiwa zawadi ya heshima na Papa Francis , kwaajili ya utendaji mzuri wa kazi na huduma ya Kanisa.
Sherehe hii ambayo ilifana sana, iliudhuliwa na Watanzania kutoka kila kona ya Roma.
Kwenye hafla hiyo, Mama Mhella, alipata fursa ya kuwashukuru Watanzania wote kwa upendo waliomuonyesha tokea alipowasili mjini Roma mwaka 1992 na pia kuwashukuru kwa ushirikiano na upendo waliompa kwenye kipindi cha miaka 24 cha uwepo wake mjini Roma.
Vile vile, kwa niaba ya Watanzania mjini Roma, Mheshimiwa kaimu Balozi, Mr. Salvatori Mbilinyi ambaye alikuwa mmoja ya washiriki wa sherehe hiyo, alimpongeza mama Mhella kwa kustahafu kazi na zaidi kumshukuru kwa upendo wake, busara zake na ukaribu aliokuwa nao na Watanzania wote. Mh. Kaimu balozi alimalizia kwa kumtakia Mama Mhella safari njema ya kurudi nchini Tanzania.
CBD oil Hong Kong
ReplyDeleteRick Simpson oil Hong Kong
Ricks hemp oil Hong Kong
Medical cannabis Hong Kong
Hemp oil Hong Kong
Where to buy CBD oil
CBD Hemp oil Hong Kong
Rick Cannabinoild oil Hong Kong
Cannabidiol Hong Kong
Rick Cannabinoild Hong Kong