UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE MUISHIO ROMA KUWA JUMAMOSI YA TAREHE 24/09/2016 KUTAKUWA NA MKUTANO WA KUCHANGIA WAHANGA WA TETEMEKO LA ARDHI MJINI MKOANI KAGERA NCHINI TANZANIA. TUNAOMBA MFIKE KWA WINGI ILI TUWEZE KUFANIKISHA ZOEZI ILI. MKUTANO UTAFANYIKA KWENYE INDIAN RESTAURANT ILIYOPO VIA PRINCIPE AMEDEO, MAENEO YA TERMINI STATION.
UPATAPO UJUMBE HUU TAFADHALI MJULISHE NA MWENZIO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE.
ANDREW CHOLE MHELLA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA
No comments:
Post a Comment