Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, July 3, 2015

MWALIKO KWENYE SIKU YA KITAIFA YA TANZANIA KWENYE MAONYESHO YA DUNIA YA EXPO 2015Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Italy unayo furaha ya kuwakaribisha
Watanzania wote muishio nchi Italy kwenye siku ya kitaifa ya Tanzania kwenye Maonyesho ya dunia ya EXPO 2015 yanayoendelea mjini Milan tarehe 13 na 14 Julai 2015. Mgeni rasmi karika siku hiyo atakuwa Mh. Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.

Kwa wale watakaoweza kushiriki, mnaombwa kuorodhesha majina kwa viongozi wa Jumuiya au moja kwa moja ubalozini. 

NB: Tickets za kuingilia ni za bure kwa Watanzania watakao andikisha majina yao.

Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.


Katibu,
Andrew Chole Mhella
Jumuiya ya Watanzania Roma

No comments:

Post a Comment