Watanzania waisio nchini Italia, siku ya jumamosi tarehe 13 Disemba 2014, walisherehekea sikukuu ya kutimiza miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara, mjini Napoli. Mgeni wa heshima alikuwa mheshimiwa Salvatory Mbilinyi, Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italy.
.
|
Meza ya Cake ilipendeza |
Mc wa Shughuli, Lady Judy akifafanua jambo!
|
Huyu ndo alikuwa MIiss Uhuru |
|
Mh. Mbilinyi na Miss Uhuru. |
WAZEE WA ROMA
RAHA JIPE MWENYEWE
|
MEZA KUU |
CAKE TIME
|
Cake inakaribia kukatwa |
|
MH. MBILINYI AKIKATA CAKE YA UHURU |
WAMMA ZETU PIA WALIKUWEPO
|
Mama Tandika akishuudia ka mbali cake ikikatwa. |
|
WATOTO NAO WALIKUWEPO |
|
MC LADY JUDY |
|
MWENYEKITI WA JUMUIYA Y WATANZANIA ITALY, MH. ABDULAHMAN "COSH" PAMOJA NA MISS UHURU |
No comments:
Post a Comment