Umoja wa Watafunzi Wakatoliki Roma, unapenda kutoa mwaliko kwa Watanzania wote muishio mjini Roma na vitongoji vyake, katika ibada ya Misa Takatifu itakayofanyika siku ya jumapili, tarehe 6 aprili
2014, saa tano na nusu asubuhi, katika parokia ya Madonna della SALETTE. Misa itaudhuliwa na Mababa maaskofu wa Kitanzania. Baada ya misa kutakuwa na mlo wa pamoja.
Muhimu: Kwa wale ambao wanapenda kushiriki, mnaombwa mumtafute ndugu katibu, Andrew Chole Mhella kwa namba hii ya simu 3391597134 au kwa e-mail hii watanzaniaroma@yahoo.it, ili kuweza kupata namba kamili kwaajiri ya maswala ya logistics za maandalizi.
Mungu Ibariki Africa, Mungu Ibariki Tanzania.
Andrew Chole Mhella
Katibu
Jumuiya ya Watanzania Roma
Mwaliko kupitia,
Shemasi Romanus G. Wissa Katibu

No comments:
Post a Comment