Jumuiya ya Watanzania Roma, inapenda kumpongeza Fr. Dr. Moses Alex Mapela kwa kufanikiwa kitetea vizuri tesina yake ya udaktari iliyofanyika kwenye Chuo Kikuu "Accademia Alfonsiana". Pontificia Universitas Lateranensis.
Father Moses alifanya Research yake juu ya :THE MASSIVE RISE OF URBANIZATION AND MODERNIZATION IN TANZANIA: THE NEED TO RE-EVANGELIZE THE FAMILY SCHOOL MORAL.
HII NDO HANDOUT ILIYOTOLEWA WAKATI WA UTETEZI WA KAZI YA UDAKARI YA FATHER MOSES ALEX MAPELA
WAKATI FATHER AKITETEA KAZI YAKE. |
BAADA YA JOPO LA MAPROFESSOR KUTANGAZA MATOKEO YA FATHER MOSES
FATHER MOSES AKIWASHUKURU WALE WOTE WALIOMUOMBEA NA WALIOMSAIDIA MPAKA KUKAMILISHA MASOMO YAKE. |
FATHER MOSES A. MAPELA AKITETA NA MMOJA WA MAMODERATOR WAKE PROF. NESTOR BASUNGA |
FATHER MOSES AKIOMBEA VITAFUNIO MUDA MFUPI BAADA YA KUMALIZA UTETEZI.
BABY J AKIMSAIDIA SISTER KWENYE KUANDAA MEZA MIDA YA JIONI KABLA YA WAGENI RASMI KUFIKA KWENYE DINNER YA KUMPONGEZA FATHER. |
No comments:
Post a Comment