Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Friday, January 3, 2014

TAARIFA ZA MSIBA MJINI ROMA

JUMUIYA YA WATANZANIA ITALY PAMOJA NA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA ZINASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MTANZANIA ALLY KIJUU JUMA KILICHOTOKEA ROME ITALY, TAREHE 31-12-2013. MIPANGO NA TARATIBU ZA MAZISHI INAFANYWA. JUMUIYA WATANZANIA ITALIA INAPENDA KUWATANGAZIA WAKAZI WOTE WA NAPOLI NA VITONGOJI VYAKE KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO SIKU YA JUMATATU TAREHE 6/01/2014 KWA WAGHANA MJINI NAPOLI. WAKATI HUO HUO JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA NAO WATAFANYA MKUTANO SIKU HIYO HIYO  YA JUMANNE TAREHE 6/01/2014 KUANZIA SAA KUMI JIONI KWENYE RESTAURANT YA WAHINDI PALE VIA PRINCIPE AMEDEO MAENEO YA TERMINI. KWA WASIOPAJUA WANAWEZA KUMPIGIA SIMU KATIBU NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA KWA NAMBA HII 3391597134.  KWA SASA MWILI WA MAREHEMU UPO PALE OBITORIO DI TOR VERGATA.  MWENYEZI  MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA..AMEEN!!!


No comments:

Post a Comment