Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, December 12, 2013

TAARIFA YA MSIBA MJINI ROME

Tangazo la Msiba: 


Jumuiya ya Watanzania Roma pamoja na Jumuiya ya Watanzania Italy zinasikitisha kutangaza kifo cha Ndugu Abdulli Abuu kilichotokea tarehe 08-12-2013 mjini Rome kwenye Casa di Cura (HOSPICE S. ANTONIO DA PADOVA) baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kutokana na msiba huu ambao sisi sote kama watanzania unatugusa, tunaombwa tujumuike kwa pamoja tuweze kuangalia mpango mzima wa msiba huu! Mjini Rome tumeamua kuwa na kikao siku ya Jumanne tarehe 17 Disemba saa kumi na moja kamili, maeneo ya Termini kwenye restaurant ya Wahindi iliyopo kwenye Mtaa wa Via Principe Amedeo. Kwa wale watakaoshindwa kuja siku ya hii, mnaweza kuwasiliana na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma kwa namba hii 3391597134. Tunaombwa tujumuike kwa wingi. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu Abdulli Abuu mahali pema peponi amina. 
Jumuiya ya Watanzania Roma pamoja na Jumuiya ya Watanzania Italy zinasikitisha kutangaza kifo cha Ndugu Abdulli Abuu kilichotokea tarehe 08-12-2013 mjini Rome kwenye Casa di Cura (HOSPICE S. ANTONIO DA PADOVA) baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kutokana na msiba huu ambao sisi sote kama watanzania unatugusa, tunaombwa tujumuike kwa pamoja tuweze kuangalia mpango mzima wa msiba huu! Mjini Rome tumeamua kuwa na kikao siku ya Jumanne tarehe 17 Disemba saa kumi na moja kamili, maeneo ya Termini kwenye restaurant ya Wahindi iliyopo kwenye Mtaa wa Via Principe Amedeo. Kwa wale watakaoshindwa kuja siku ya hii, mnaweza kuwasiliana na Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma kwa namba hii 3391597134. Tunaombwa tujumuike kwa wingi. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu Abdulli Abuu mahali pema peponi amina.No comments:

Post a Comment