UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA UNAPENDA KUWAFAHAMISHA WATANZANIA WOTE KUWA JUMAMOSI TAREHE 27 JULY 2013 KUTAKUWA NA KIKAO KIKUBWA KWENYE UKUMBI WA RESTAURANT YA WAHINDI MAENEO YA TERMINI KUANZIA SAA KUMI JIONI. AGENDA YA KIKAO NI KUREKEBISHA MASWALA MBALIMBALI YA JUMUIYA NA VILEVILE KUANDIKISHA WANAJUMUIYA WAPYA. SAFARI HII UONGOZI WA JUMUIYA UMEAMUA KUWA MAKINI ZAIDI ILI KUJUA NANI ANAFAHA KUJIUNGA NA NANI HAFAI NA NANI AENDELEE KUWEPO KWENYE JUMUIYA NA NANI HAPANA. HII NI KUTOKANA NA BAADHI YA WATU KUFIKIRIA BADO TUPO KWENYE ENZI ZA KUFA NA KUZIKANA. JUMUIYA INATAKA KUFOCUS ZAIDI KWENYE PROJECTS MBALIMBALI NA NDIO MAANA INATAKA WATU AMBAO WAPO MAKINI NA WANAOJUA UMUHIMU WA JUMUIYA ZETU SISI TULIO UGHAIBUNI. ASANTENI SANA NA NAWATAKIA KAZI NJEMA ZENYE MAFANIKIO MENGI.
KATIBU,
ANDREW CHOLE MHELLA
3479094800
watanzaniaroma@yahoo.it
KATIBU,
ANDREW CHOLE MHELLA
3479094800
watanzaniaroma@yahoo.it
No comments:
Post a Comment