Watanzania mjini Roma, Jana 27 Aprili 2013, walijumuika kwa pamoja kwenye Arobaini ya marehemu Zubena Jabiri. Shughuli nzima ilifanyika nyumbani kwa Mzee Jabiri, maeneo ya Cassia. Marehemu Zubena alifariki dunia nchini Tanzania, Dar-es-Salaam tarehe 16 March 2013. Waudhuliaji wa Shughuli nzima walikuwa Balozi wa Tanzania Italy, Mh. James Msekela, Mwenyekiti ya Jumuiya ya Watanzania nchini Italy, Mh. Abdulrahamani A.Alli, maofisa mbalimbali wa Ubalozi wa Tanzania nchini Italy,Viongozi na wajumbe wa Jumuiya ya Watanzania Rome pamoja na watanzania mbalimbali.
Picha zote zimepigwa na Mr. Msemo, ofisi wa ubalozi wa Tanzania nchini Rome.
Picha zote zimepigwa na Mr. Msemo, ofisi wa ubalozi wa Tanzania nchini Rome.
No comments:
Post a Comment