
Familia ya Mama Janeth Tabitha Mhella wa mjini Roma, inasikitika kutangaza Kifo cha Bibi Mzuri, ambaye ni mama mzazi wa mjumbe, Mama Mhella, kilichotokea leo 28-03-2013 mkoani Mwanza nchini Tanzania. Bibi Mzuri amefariki leo saa kumi na moja za jioni saa za Tanzania akiwa na miaka 92 katika Hospitali ya Bugando alipokuwa akipata matibabu. Habari ziwafikie ndugu Jamaa na Marafiki Popote pale mlipo!
Mwenyezi Mungu Amlaze Marehemu Bibi Mzuri Mahali Pema Peponi. Amen.
Mwenyezi Mungu Amlaze Marehemu Bibi Mzuri Mahali Pema Peponi. Amen.
No comments:
Post a Comment