Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, October 23, 2012

MSIBA NAPOLI ITALY

Jumuiya ya Watanzania Roma, imepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kifo cha Mtanzania mwenzetu MZEE JANUARY JEREMIA MKOBA (KOBA MDAULA) Kilichotokea usiku wa Jumapili tarehe 21/10/2012 huko mjini Napoli.  Kama ilivyo jadi yetu sisi Watanzania, tunaombwa tushiriki kikamilifu kwenye kufanikisha usafirishwaji wa mwili wa Marehemu kwenda nchini Tanzania kwaajiri ya mazishi! 

Kwa  hapa Roma, Michango inawezwa kuwakilishwa kwa Katibu, Ndugu Andrew Chole Mhella 3479094800, Kwa mweka hazina ndugu Awadhi Suleiman 3395438783, au Bi. Diana Olotu kwa kumpitishia ubalozini!Mipango mingine zaidi tutawajulisha mapema iwezekanavyo.

                                                                Andrew Chole Mhella
Katibu,
AHSANTENI NA POLENI SANA!

No comments:

Post a Comment