Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, July 4, 2012

TANGAZO LA MSIBA MJINI ROMA


WATANZANIA WAISHIO ROMA TUNASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA NDUGU YETU MPENZI ULTANI DOMINGO—KILICHO TOKEA KATIKA HOSPITALI YA
SAN RAFFAELE – MAHALI – MONTE COMPATRI – VIA S. SILVESTR N,67. SIKU YA JUMATATU TAREHE 2/07/2012 SAA KUMI NA MBILI ASUBUHI ROMA – ITALY.
MAREHEMU ALISUMBULIWA NA SARATANI YA MAPAFU. WATANZANIA WOTE MNAOISHI ROMA MNAOMBWA MFIKE KWA WINGI KWENYE MKUTANO SIKU YA JUMAMOSI TAREHE 7/07/2012 KATIKA PIZZERIA YA SOUTH INDIAN RESTAURANT VIA PRINCIPE AMEDEO 70 . MAENEO YA TERMINI . MNAOMBWA MFIKE SAA
KUMI JIONI ILI TUFANIKISHE USAFIRI WA KUMPELEKA NYUMBANI MAREHEMU.
NDUGU WA MAREHEMU WANAZO TAARIFA  NA WANAUSUBIRIA MWILI WA MAREHEMU MJINI DAR ES SALAAM KATIKA MTAA WA BOKO STREET 27 – TEMEKE.UMOJA NI NGUVU HIVYO BASI TOWENI TAARIFA KWA WENGINE AHSANTENI.
KWA MAELEKEZO ZAIDI PIGA NAMBA HIZI 00393887381786 ROME-ITALY
— in Rome. ( UJUMBE KUTOKA KWA GEORGE MAYAKA)

No comments:

Post a Comment