Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, July 12, 2012

Mwili wa Marehemu Sultan Mohamed "Domingo" waagwa Mjini Roma

Watanzania kutoka sehemu mbalimbali nchini Italy, leo walikusanyika katika Hospitali ya San Raffaele iliyopo kwenye kitongoji nje ya Roma,Monte Compatri, kwenye kuuaga mwili wa marehemu Sultan Mohamed "Domingo" aliyefariki tarehe 2 Julai 2012 akiwa kwenye matibabu ya saratani ya mapafu. Maandalizi ya kuusafirisha mwili wa marehemu yapo ukingoni na panapo majaliwa mwanzoni mwa wiki ijayo mwili wa marehemu utasafirishwa kwenda nchini Tanzania ambako ndugu, jamaa na marafiki wataupokea.

.


Jeneza lenyr mwili wa marehemu likiwa kwenye chumba cha kuifadhia maiti.

Katibu wa Jumuiya ya Watanzania Roma akiuaga mwili wa Marehemu.


Baadhi ya waombolezaji wakiuaga mwili wa marehemu.

Ili ni basi lililowaleta watanzania tokea Napoli kuja kuuaga mwili wa marehemu.

Bendela ya Tanzania ilikuwepo mbeleni mwa bus lililowaleta Watanzania tokea Napoli.

Picha zote zimepigwa na mobile phone.
all rights reserved.

No comments:

Post a Comment