Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Tuesday, July 24, 2012

MODENA:BALOZI WA TANZANIA NCHINI ITALY AFANYA ZIARA MJINI MODENA

Mheshimiwa Balozi katikati pamoja na Mh. Mwinyimwaka upande wa kulia.


Balozi wa Tanzania nchini Italy, Mh. James Msekela, mwishoni mwa wiki iliyopita, alifanya ziara mjini modena. Modena, mji ambao upo kaskazini mwa Italia, ni mji ambao unasifika sana kwa kuwa na viwanda vingi nhapa chini Italia.

Mheshmiwa balozi aliyepokelewa na mwenyeji wake ambaye ni Katibu wa Watanzania Modena, Mh. Mwinyimwaka. Mheshimwa balozi aliwasili mjini modena ijumaa ya tarehe 20 Julai na siku hiyo hiyo mchana, aliweza kutembelea kiwanda cha uzalisha vigae, kilichopo kwenye kitongoji cha Sassuolo, mjini modena.

Siku ya Jumamos, tarehe 21 Julai, Mheshiwa balozi alikutana na Mayor wa CASTELFRANCO, Mh. Stefano Reggianini ambapo walizungumza maswala mbalimbali kuhusiana nauzalishaji na uwekezaji nchini Tanzania.

Baada ya kukutana na Mayor wa Castelfranco, Mheshiwa balozi aliweza kukutana na watanzania kwenye ukumbi wa ex-bliblioteca ambapo pamoja na Watanzania walijadili maswali mbalimbali.

Habari na picha zimeletwa kwetu na Mh. Mwinyimwaka, Katibu wa Watanzania Modena.

No comments:

Post a Comment