Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Thursday, May 17, 2012

UJUMBE MAALUM: Misa ya Kumuaga Marehemu Fr. James Mbwana

                             Marehemu Fr. James Mbwana wakati wa uhai wake

     UJUMBE KUTOKA CHAMA CHA WANAFUNZI WATANZANIA WAKATOLIKI ROMA
KWA NIABA YA MWENYEKITI WETU PADRI RICHARD TIGANYA NA UONGOZI WETU, TUNAPENDA KUWAPA UTARATIBU WA KUMUAGA PADRE JAMES KAMA TULIVYOELEKEZWA.
BABA ASKOFU PAMOJA NA PAROKO WA ENEO ALILOKUWA ANAISHI PADRE JAMES WAMEPENDEKEZA IBADA YA MISA IFANYIKE SIKU YA IJUMAA TAREHE 18 MAY 2012, PAROKIANI CARCHITCI KUANZIA SAA TISA KAMILI YA JIONI.
JINSI YA KUFIKA NI KUCHUKUA TRENI IENDAYO CASSINO NA UNASHUKA ZAGALORO NA KUTOKA HAPO KUTAKUWA NA MAGARI YA KUWAPELEKA PAROKIANI.
TUNAPENDEKEZA KWA WALE WATAKAOWEZA KWENDA BASI KAMA KIKUNDI TUONDOKE KWA PAMOJA PALE TERMINI SAA SAA SABA NA NUSU MCHANA.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA...!
PADRE LIKOKO CHRISTIAN.
KATIBU.

MUHIMU: Naomba tushiriki wote, ni katika taabu wapendwa.
MISA itakuwa saa 9.00 Alasiri-Jimboni Palestrina.
KWANINI HUKO? Baba Askofu wa Jimbo hilo ametuomba tufanye Misa moja pamoja naye.
TUKUTANE TERMINI :Saa 6.05 mchana
KUONDOKA : Saa 6:40 mchana, kumbe dk 35 nikwa ajili ya kununua tiketi na check in!
TRENI: Inayoenda Cassino
TIKETI:Kwenda na Kurudi 4.60Euro
STESHENI YA KUSHUKA: Zagarolo saa 7.05 mchana
Toka pale kutakuwa na usafiri ulioandaliwa na parokia na ni mwendo wa dk 20
OMBI MUHIMU PIA: Ukipata ujumbe huu kama utaweza kushiriki utupe jibu ili tumjulishe Paroko wa huko ili afanye maandalizi ya usafiri na mengineyo-chakula
TUTAIMBA: Wimbo wa shukrani au tuseme wa marehemu. Wameomba.
MAVAZI MISA: Hatukupata taarifa kamili lakini KAMA KAWAIDA YA MISA ZA MAREHEMU
Ni Pd Christian Likoko
Katibu
Watanzania wote kwa ujumla tunaombwa tujitaidi kushiriki kwenye hii misa ya kumuaga mpendwa wetu Fr. James A. Mbwana kesho tarehe 18 Mei 2012. Misa itafanyika kwenye address hii hapa:
Diocesi Suburbicaria di Palestrina
Piazza Gregorio Pantanelli n° 8
00036 Palestrina (Roma)
Tel. 069534428 - 0695312045

No comments:

Post a Comment