Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, May 16, 2012

More Pictures of Tanzania Muungano Day in Rome

 BAADHI YA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA WAKIPATA PICHA YA PAMOJA NA MH. BALOZI. KUTOKA KUSHOTO KWA NYUMA NI BI. DIANA OLOTU AMBAYE NI KATIBU MSAIDIZI AKIFUATIWA NA BW. BAKARI HIZZA.KUTOKA KUSHOTO CHINI NI MWENYEKITI MH. LEONCE UWANDAMENO AKIFUATIWA NA BALOZI WA TANZANIA ITALIA NA UPANDE WA KULIA NI KATIBU NDG. ANDREW CHOLE MHELLA.
   PICHANI NI DADA JANE KUSHOTO AKIWA NA MAMA MWENYEKITI KULIA PAMOJA NA DADA MTANZANIA KWA BAHATI MBAYA JINA HATUJALIPATA WAKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA MH. BALOZI.
        KATIBU WA JUMUIYA YA WATANZANIA ROMA NDUGU ANDREW CHOLE MHELLA
                NA FAMILIA YAKE PIA WAKISHOW SOME LOVE KWENYE SHEREHE.
     KUTOKA KUSHOTO NI DADA JANE, KATIKATI MWANJAA (MAMA QUEEN) PAMOJA
                    NA DADA RIZIKI WAKIWA MAKINI KWENYE KUPANGILIA MSOSI.
       NANI KAMA NYINYI!!! DADA JANE NA LADY D AMBAYE NI KATIBU MSAIDIZI
                                            WA JUMUIYA YA TANZANIA ROMA.
          WAZEE WAKONGWE WA KITANZANIA ITALY, MZEE JABIR NA MZEE RINGO     
       ALIYEVAA SHATI LA UTAMBULISHO WA CHAMA FLANI HIVI KULE TANZANIA
                                                     (JINA LA HICHI CHAMA KAPUNI)
                                                WATOTO WAZURI WALIPENDEZA PIA.
    WAMAMA WALIPENDEZA KULIKO. KUTOKA KUSHOTO NI MAMA MSEMO, MAMA
                                                KAYOMBO NA DADA RIZIKI.
                  HAPA KATIBU AKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA MH. BALOZI.
      PICHA YA PAMOJA YA WAFANYAKAZI WA UBALOZINI PAMOJA NA FAMILIA ZAO.
                                                                  

1 comment:

  1. Lady d umependezaje.? Upo juu sanaaaa

    ReplyDelete