Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.

Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Wednesday, April 11, 2012

Mkutano wa maandalizi ya sherehe ya muungano na utamaduni wa mtanzania Roma

Uongozi wa Jumuiya ya watanzania Roma unapenda kuwakumbusheni wanajumuiya wote wa Jumuiya ya Watanzania Roma pamoja na Watanzania kwa ujumla popote pale mlipo kuwa, Jumamosi hii tarehe 14 April 2012, kutakuwa na mkutano muhimu wa maandalizi ya sherehe zetu za Muungano wa Tanzania na za utamaduni wa Tanzania, kuanzia saa tisa mchana. Tafadhali tuzingatie muda, maana tuchelewapo tunaweza kutokufanikisha ipasavyo malengo yetu ya mkutano.
Mkutano huu ni muhimu kwa haya yafuatayo:
  • Kuangalia kwa pamoja mwenendo wa michango.
  • Kuchaga kwa wale ambao bado hawajachanga.
  • Kugawana majumuku.
  • Kupeana mawazo mbalimbali juu ya kuiboresha sherehe hii.

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania Roma, unaomba upatapo message hii mfahamishe na mwenzio maana si kila mtu anatumia mtandao.

Kwa maelezo zaidi mnaweza kupiga simu hii 3479094800 au kwa kutuandikia e-mail hii: wanajumuiyaroma@yahoo.it .

No comments:

Post a Comment