Pages

log with Fire

WELCOME TO TANZANIA
Tanzanian Community in Rome, Via GIUSEPPE DI VITTORIO 9, 00067 MORLUPO, Rome, Italy -- Sasa Mnaweza kuweka Michango yenu ya mwezi kwenye account ya Jumuiya: Banki ya Posta:Associazione dei Tanzaniani a Roma Acc. Number 000007564174 Codice Fiscale: 97600810580 ---

welcome to Tanzania

TANZANIAN COMMUNITY IN ROME (TZ-RM,) is a community that unites TANZANIANS living in Rome and those living outside of Rome who have read, understood and accepted the content of its Constitution and hence becoming part of the community's family. Tanzanian Community in Rome is a fruit of the well designed ideas, approved by all community members at the Community's First General Meeting held on the 30th January, 2010. It is a non-political, non-religious, non-ethnical and non-gender based kind of organization. It is a community that democratically, accepts and respects different ideas from all its members without any sort of segregation.
Tanzanian Community in Rome counts alot on members monthly contributions in order to keep the community alive.But all in all, it appreciates any sort of contribution from anyone.

Sunday, January 8, 2012

Taarifa za Kikao cha Kwanza cha Msiba wa Twahir Rome

Jana jioni 07/01/2012 mjini Rome, kulifanyika kikao cha msiba wa marehemu Twahir. Kikao hichi kililenga zaidi kwenye kuchangisha michango ya kusaidia ufanikishaji wa usafirishaji wa mwili wa Marehemu Thawir kwenda nyumbani Tanzania kupumzishwa kwa amani. Mkutano ulienda vizuri japo hakukuwa na watu wengi.Wale tuliokuwepo tulichanga na baadhi ambao hawakuwepo waliaidi kuchanga. Wajumbe kwenye kikao waliamua kuwepo na kikao cha mwisho siku ya jumatano pale pale kwenye restaurant ya kiindi, iliyopo kwenye maeneo ya Termini via amedeo principe saa kumi kamili jioni ili kukamilisha michango na kupanga namna ya kwenda kwenye kuuaga mwili wa marehemu siku ya jumamos mjini Napoli. Mnaombwa kufika kwa wingi maana hakutakuwa na kikao kingine zaidi ya hichi. Kutoa ni moyo kwa hiyo Watanzania wote mnaombwa kuitikia wito na kushiriki kwenye mkutano huo.Kwa maelezo zaidi mnaweza kupiga simu kwenye namba hii 3479094800.

No comments:

Post a Comment